RAIS DK. SAMIA AWASILI IRINGA AKIELEKEA KWENYE MAADHIMISHO MEI MOSI.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Iringa akielekea Mkoani Njombe kushiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, tarehe 01 Mei, 2026.





Post a Comment

0 Comments