UONGOZI wa SAKAGOI BLOG, unasikitika kuwajulisha kuwa aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Mkoa wa Simiyu, Faustine Fabian ambaye pia alikuwa Mwanachama wa Simiyu Press Club (SMPC), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Mei 19, 2026) huko Nzega mkoani Tabora alipokuwa akisumbuliwa na maradhi ya kupanuka kwa moyo.
Taarifa zaidi na Ratiba ya Mazishi itatolewa kesho.utaendelea
R.I.P FAUSTINE FABIAN.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

0 Comments