Na COSTANTINE MATHIAS, Igunga.
MACHO na Masikio ya Wakulima wa Pamba kutoka mikoa 17 inayolima Pamba nchini yameelekezwa katika Kijiji cha Mwamashimba wilayani Igunga Mkoani Tabora ambapo Serikali kupitia Bodi ya Pamba leo Mei 10, 2026 inatangaza Bei elekezi ya kununulia zao la Pamba katika msimu wa Kilimo 2026/27.
Waandishi wa Habari za pamba na Mazingira tumepiga kambi katika wilaya ya Igunga akizungumza na wakulima wa Pamba, Wanunuzi (wachambuaji), vyama vya Ushirika (Amcos) na Wasafirishaji ambao wamesema kuwa maandalizi ya ununuzi katika upande wao yamekamilika na kwamba wanasubiri maelekezo ya serikali.
Endeelea kutufuatilia...

0 Comments