Na Mwandishi wetu.
KATA Wese Jogging Club, imezidi kushamiri katika kata ya Somanda, Halmashauri ya Maji wa Bariadi Mkoani Simiyu ambapo pamoja na kufanya mazoezi pia wanafanya shughuli za Usafi mjini Bariadi pamoja na kusaidiana kwenye shida na Raha.
Jogging imeanzia shule ya msingi somanda kupitia barabara kuu (Nyerere Rd) Hadi njia panda ya muungano ilizunguka viunga vyote mji wa Bariadi kwenye kata ya malambo, Sima na Bariadi na baadae kumalizia kata ya Somanda kwenye shule ya msingi somanda ikiwa ni zaidi ya km 11.
Kubwa kwa Leo ilikuwa taarifa ya msiba ya baba mzazi wa mwanachama mwenzetu na kuona ni jinsi gani tunaweza kushiriki msiba huo.
Pia tumewapokea wanachama wapya 15 kuungana na familia ya wakata wese wa mkoa wa Simiyu.
Mwisho.
![]() |






0 Comments