WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa Timu zote za Taifa za Tanzania.
Aizungumza na waandishi wa Habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda amesema Haji Manara atafanya kazi chini ya Baraza la Taifa la Michezo (BMT), na atazisemea timu zote za Taifa za mpira wa miguu.


0 Comments