MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, Tina Chenge akiuliza swali Bungeni.
Na COSTANTINE MATHIAS, Dodoma.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, Tina Chenge ameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha Umeme katika Shule ya Sekondari Bunamhala iliyoko mtaa wa Songambele, Halmashauri ya Mji wa Bariadi, kufuatia swali alilouliza Bungeni Juni 8, 2026.
Katika pongezi zake, Mbunge huyo ameishukuru serikali ya Rais Dk. Samia pamoja na Wizara ya Nishati kupitia Naibu Waziri wake Salome Makamba ambaye alitoa maelekezo kwa Tanesco Mkoa wa Simiyu kuhakikisha ndani ya siku 5 (jumatatu hadi ijumaa) wanafikisha Umeme katika Shule hiyo.
Sikiliza hapa,..

0 Comments