RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Alokp Dangote pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 16, 2026.
"Nimekutana na kufanya mazungumzo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na ujumbe wake." Sehemu ya ujumbe wa Rais Dk. Samia.
Alhaji Dangote ni mmoja wa wawekezaji wakubwa Tanzania ambapo kiwanda chake cha saruji (Dangote Cement) mkoani Mtwara kinakuza uchumi wetu kupitia biashara ya saruji, ajira kwa Watanzania na kukuza sekta fungamanishi.
Mwisho.






0 Comments