Na COSTANTINE MATHIAS, Dodoma.
MKUTANO wa wa wadau wa Tasnia ya Pamba unafanyika leo katika ukumbi wa jakaya Kikwete Convention jijini Dodoma kwa lengo la kujadili Uendelevu wa zao la Pamba.Katika Mkutano huo, utakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Wakulima, Wanunuzi wa Pamba, watayarishaji wa Mbegu, Taasisi za Kifedha, Maafisa Ugani/Kilimo, Wabunge, Wakuu wa Wilaya na Mikoa inayolima pamba, wazabuni wa pembejeo, Tagamet pamoja na wataalamu kutoka Bodi ya Pamba Tanzania.
Mgeni Rasmi kwenye Mkutano huo anatarajiwa kuwa ni Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo (Mb), ambapo atazungumzia nafasi ya wadau katika kukuza na kuimarisha sekta ndogo ya Pamba.
Kauli Mbiu "Nguvu ya pamoja kwa Tasnia ya Pamba Endelevu".
Mwisho.

0 Comments