RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameutembelea mradi wa Mji wa AFCON Fumba uliopo Mkoa wa Mjini Magharibi.
Ziara hiyo ameifanya leo Aprili 14, 2026, akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Riziki Pembe, pamoja na wadau wa mradi wa AFCON Fumba Zanzibar.
Katika ziara hiyo, Rais Dk. Mwinyi amekagua maeneo mbalimbali ya uwanja huo wa kisasa wa AFCON unaojengwa na Kampuni ya ORKUN GROUP ya Uturuki.
Source..
#uhuruonline

0 Comments