Na Mwandishi wetu,Simiyu.
JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limefanikiwa kumkamata na linamshikilia Magembe Tabu Makulilo, mkazi wa kijiji cha Mwanale wilaya ya Busega Kwa tuhuma za kumtendea mke wake vitendo vya Ukatili.

0 Comments