Picha mbalimbali za matukio wakati wa kusimikwa kwa Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki Bariadi.
Madhehebu ya kumsimika Mhashamu Prosper Lyimo limefanywa na Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, ambaye pia ni Mkuu wa Metropolitan ya Mwanza.
Picha ni Mhashamu Prosper Balthazar Lymo Askofu wa Jimbo Katoliki Bariadi mara baada ya kusimikwa rasmi kuliongoza Jimbo hilo leo Machi 19, 2026.









0 Comments