RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Zanzibar na kupokelewa na Viongozi mbalimbali akitokea nchini Ethiopia baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo pamoja na mambo mengine alishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Februari 14 na 15, 2026.
Source.
#uhuruonline


0 Comments