VIKAO KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE KUANZA MARCH 9, 2026.





VIKAO vya Kamati za Kudumu za Bunge, vinatarajiwa kuanza Machi 09 hadi 27 mwaka huu, bungeni jijini Dodoma.



 Shughuli zitakazotekelezwa zitalenga kufanikisha maandalizi ya Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13.

Mwisho 

Post a Comment

0 Comments