RAIS DKT. SAMIA AIPAISHA TANZANIA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI.




RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amezidi kuipaisha Tanzania, kwa  kuifanya  kivutio cha kimataifa cha uwekezaji katika sekta ya madini, baada ya kuorodheshwa miongoni mwa maeneo yanayoongoza barani Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya Fraser Institute (Annual Survey of Mining Companies 2025).


Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania imeshika  nafasi ya 34 kati ya maeneo 68 duniani yaliyotathminiwa katika Investment Attractiveness Index (IAI), kielelezo kinachotumiwa na wawekezaji na kampuni za utafiti wa madini kuamua wapi waelekeze mitaji ya utafiti na maendeleo ya miradi....


Post a Comment

0 Comments