Picha mbalimbali ni wakati wa Mapokezi ya Mhashamu Prosper Balthazar Lymo - Askofu wa Jimbo Teule Katoliki Bariadi mpakani mwa Jimbo Kuu Katoliki Tabora na Jimbo Katoliki Shinyanga.
Mapokezi hayo yameongozwa na na Mhashamu Liberatus T.K. Sangu, Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga kutoka katika Eneo la Mto Manonga kuelekea makazi ya Askofu Sangu Mjini Shinyanga.
SAKAGOI BLOG kutoka Mkoa wa Sikiyu, tunakupongeza sana na kuukaribisha sana, Jimbo jipya la Bariadi.
Source.
www.radiomaria.co.tz
Mwisho.





0 Comments