RAIS DKT. SAMIA AWASILI ADDIS ABABA

 



RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Matukio tofauti ya picha alivyowasili Uwanja wa Ndege jijini Addis Ababa Ethiopia leo ambapo anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 39 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali a Umoja wa Mataifa (AU).







Post a Comment

0 Comments