RC MTANDA APOKELEWA KWA SHANGWE-SIMIYU.


Na COSTANTINE MATHIAS, Bariadi,

MKUU  mpya wa Mkoa wa Simiyu, Said Mohamed Mtanda amewasili Mkoani Simiyu.

Mtanda amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali katika eneo la Kasoli Wilayani Bariadi akitokea Mkoani Simiyu.

Tanzania picha hapa chini.













Post a Comment

0 Comments