
Taarifa ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa Mwanafunzi huyo ni Mwenyeji wa Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu ambapo mwili wa Marehemu ulikutwa umening'inia juu ya mti uliopo karibu na eneo la Shule na kwamba Marehemu hakuacha ujumbe wowote.
Aidha, Jeshi la Polisi linaendela na upelelezi kuhusiana na tukio hilo na mwili wa Marehemu umefanyiwa uchunguzi na daktari ili kuthibitisha chanzo cha kifo chake.
Mwisho.
Mwisho.
0 Comments