Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linatoa ufafanuzi kuhusiana na Picha Mjengeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikihusisha Askari wa Mkoa wa Simiyu.
Aidha, kutokana na picha hiyo mjongeo uchunguzi umeanza mara moja na taarifa kamili ya tukio hilo itatolewa mara baada ya uchunguzi kukamilika.


0 Comments