Na Mwandishi wetu, Maswa.
HALMASHAURI ya wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, imepokea kiasi cha Shilingi milioni 776 mwezi Juni 2026 kutoka Serikali Kuu kupitia SEQUIP (584m), GPE (75m) na SWASH (117m) kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu.
Fedha hizi zitatekeleza ujenzi wa Shule ya Sekondari Ikungulyakoma, madarasa 3 katika Shule ya Msingi Ntunzu na matundu 12 ya vyoo katika Shule za Msingi Ikinamwigulu, Mwamadimi na Mwasayi.
Mwisho
Source.
Mitandao ya kijamii, MASWA DC.

0 Comments